BBC News, Swahili - Habari

Habari kuu

Taarifa kuhusu Coronavirus

Haba na Haba Redio

Global Newsbeat

Sikiliza, Babu anayeweza kusakata densi mjini New York, Muda 2,02

Babu mwenye umri wa miaka 89 huko New York anayependa kusakata densi, Robert Holzman amepokea chanjo dhidi ya corona mapema ili aweze kuendeleza talanta yake ya kudensi.

Dira TV

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 17/03/2021, Muda 25,47

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 17/03/2021 na Esther Kahumbi

Vipindi vya Redio

 • Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 19 Machi 2021, Muda 1,00,00

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 18 Machi 2021, Muda 1,30,00

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 18 Machi 2021, Muda 29,30

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 18 Machi 2021, Muda 29,30

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Gumzo mitandaoni

  • Matumizi ya Lugha

   Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

   Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.